Deuteronomy 22:19

19Watamtoza shekeli mia moja
Shekeli 100 za fedha ni sawa na kilo moja.
za fedha na kupewa wazazi wa msichana, kwa sababu mwanaume huyu amempa bikira wa Kiisraeli jina baya. Ataendelea kuwa mke wake; kamwe hawezi kumpa talaka siku zote za maisha yake.

Copyright information for SwhKC